CAG tayari amekamilisha ripoti ya ukaguzi Wa mahesabu ya vyama vya siasa. CHADEMA wao wamepata hati yenye mashaka. Leo wamefanya press conference kuzungumzia hati hiyo na kudai eti wanaiweka wazi
.
Miezi kadhaa nyuma chadema Hawa Hawa walikataa na kusema wameshakaguliwa. Kweli Njia ya muongo fupi.

Kutolewa kwa mahesabu na kupewa hati yenye mashaka kunathibitisha uhalali, ukweli na uwajibikaji Wa mwenyekiti Wa PAC Zitto Kabwe ambaye alisema lazima vyama vyote vikaguliwe.

Sasa wamekaguliwa na Leo wanajihami kukutana na kamati ya PAC tarehe 28 mwezi huu...

Hili ni somo lengine kati ya masomo mengi niliyojifunza kuhusu uzalendo Wa ZZK.

Jamaa zangu wanahaha kwa aibu ya mahesabu mabovu.