KARIBU SANA

Friday, 18 July 2014

MAKAMBA JANUARY FOR PRESIDENTIAL POST 2015


   
National

Makamba: JK has no problem with my bid

Share Bookmark Print Email Rating

‘‘ ...there are minor issues I still need to iron out. I need to talk to the elders, the clergy and retired leaders on how best to approach this thing...” January Makamba 
By Katare Mbashiru, The Citizen Reporter

Posted  Friday, July 11  2014 at  09:56
In Summary
  • In an interview with The Citizen yesterday, Mr Makamba expressed his dismay over what he termed as misleading information by a section of the media that President Jakaya Kikwete advised him not to ‘force things’.
SHARE THIS STORY

0
Share

Dar es Salaam. Deputy minister for Communications, Science and Technology January Makamba has reaffirmed his presidential ambition insisting he will firmly be in the race for the top job come 2015 General Election.
In an interview with The Citizen yesterday, Mr Makamba expressed his dismay over what he termed as misleading information by a section of the media that President Jakaya Kikwete advised him not to ‘force things’. Mr Makamba who doubles as Bumbuli MP was reacting to the advice the President gave on Wednesday when addressing residents at Soni in his second day of his tour of Tanga Region.
Speaking shortly after Mr Makamba invited him to address the people, the Head of State used the opportunity to counsel the young man, who is a son of former CCM’s secretary general Yusuf Makamba. He advised him to “adhere to dictates of time.”
Before joining active politics, the Bumbuli lawmaker rose from a desk officer in the ministry of Foreign Affairs to working as the President’s speech writer.
Yesterday, Mr Makamba said the media quoted Mr Kikwete out of context saying there was exaggeration as if the Head of State was not happy with his candidature come 2015.
Mr Makamba quoted Mr Kikwete as saying: “I have heard that your MP is planning to vie for the highest political office…I wish him well because such decisions ought to be made by a person himself and whenever God decides always the dream becomes a reality,’’ Mr Makamba said adding:
“When the time comes he will get the presidency but if it is not yet time, he won’t. But even if he will not make it to State House, he should not harbour any ill-feelings,’’ he quoted what he claims was what the President said.
In principle, he said, the President’s words gave an okay to his dream. Mr Makamba thanked the Head of State for expressing his confidence over his candidature in public.
 “I know Mr Kikwete has been among key stakeholders in my active politics, and his declaration in public about my ambition gives me confidence and I will not go back on my plans,’’ said the Bumbuli MP.
At a public rally in Bumbuli on Wednesday, Mr Kikwete praised Mr Makamba for excellent work saying he had helped his administration a lot. He advised him to borrow a leaf from him and not to harbour ill-feelings if he fails in his bid.
This was in reference to his first attempt at the presidency in 1995 when Mr Benjamin Mkapa, who he later succeeded in 2005, won CCM’s candidature. He however, asked him to listen to the words of wisdom from elders whom he said will advise him accordingly.

Sunday, 13 July 2014

VIDEO MPYA YA DIAMOND NA PROFESA JAY.



Picha 35 za utengezwaji wa video ya Profesa Jay – Kipi Sijasikia

51prfjMwanzoni wakati zinasambaa picha za Diamond akiwa na Profesa Jay watu wengi tulikua tukijiuliza aina ya muziki ya muziki unaotaka kufanywa na wawili hawa ambao kwa hesabu ya haraka haraka tulishindwa kujua kama utakua muziki wa hip hop au wakuimba kama aufanyao Diamond.
Wimbo ulipotoka kila mtu alielewa kilichozungumzwa na Profesa Jay hasa upande wa mashairi akitoa ushuhuda wa maisha yake ambayo yameongelewa mengi mpaka hapo alipo kiasi cha kuuliza ‘Kipi Sijasikia’
Video yake imeanzwa kutengenezwa July 12 ikimhusisha pia Super Producer wa wimbo huu P.funk Majani ambaye kwa video hii kasimama kama wakili pamoja na Diamond Platnumz upande wa pili.
Video hii inaongozwa na Adam Juma kutoka Next Level,baadhi ya vipande wakati video hii ikifanywa ni hivi.
54prfj
52prfj
47prfj
46prfj
45prfj
44prfj
41prfj
33prfj
36prfj
37prfj
39prfj
40prfj
31prfj
28prfj
27prfj
26prfj
23prfj
22prfj
12prfj
13prfj
14prfj
15prfj
17prfj
19prfj
11prfj
9prfj
8prfj
5prfj
4prfj
3prfj
2prfj
1prfjkip
MAONI

SUPER STAA SHOGA

Staa mwingine wa Michezo aliyejitangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

iAN Bingwa mara tano wa kuogelea katika michuano ya Olimpiki duniani Ian Thorpe amejitangaza hadharani kuwa ni shoga katika moja ya mahojiano yake nchini Australia.
Awali Thorpe alikuwa akinakusha kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuandika maelezo yake mwaka 2012.
ian-thorpe-depression-640
Muogeleaji huyo wa kutegemewa nchini Australia amekuwa akikabiliwa na msongo wa mawazo na kuwekwa Rehab mapema mwaka huu.
Katika moja ya mahojiano yake, Thorpe amesema kuwa hivi karibuni amejisikia vizuri na kuona kawaida kuzungumza mbele ya marafiki zake kuhusu jinsia yake

SUPER STAR WA MOVIE AFARIKI GHAFLA

Huyu ndio mwigizaji wa filamu ya Harry Potter aliyekutwa amekufa.

harrrrry1
Mwigizaji raia wa Uingereza aliyecheza series za Harry Potter amekutwa amekufa jijini California, kwa mujibu wa mamlaka za eneo hilo.
Dave Legeno, mwenye umri wa miaka 50, alikutwa akiwa amepoteza maisha siku ya Jumapili na mwili wake kuchukuliwa na helicopter.
harryy
Hakukuwa na alama zozote za uhalifu katika eneo alipokutwa na inaaminiwa kuwa alipoteza maisha kutokana na joto kwa mujibu wa uchunguzi wa awali.
Amecheza katika series tatu za filamu ya Harry Potter ikiwemo Deathly Hallows.

Saturday, 12 July 2014

JANUARY MAKAMBA ATIKISA MITANDAO YA KIJAMII APATA SUPPORT KUBWA YA VIJANA!

Source:Mwananchi Jumamosi
Uamuzi wa mwanasiasa kijana, January Makamba wa kutaka kuwania urais, umezidi kukoleza mijadala ya kisiasa katika mitandao ya kijamii na kuibua hoja zinazokinzana kuhusu ujana na uzoefu wa uongozi.
Makamba (40) ambaye ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia na mbunge wa Bumbuli (CCM), ametangaza kuwa ameamua kwa asilimia 90 kujitokeza kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, akisema asilimia zilizobaki zitategemea mambo kadhaa.
Katika ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii wa facebook, Makamba alisema uongozi wa kizazi kipya upo tayari kushika hatamu za uongozi na kuijenga Tanzania mpya, fikra mpya na maarifa mapya.
Alisema mabadiliko yaliyotokea Tanzania, yalidaiwa na kuongozwa na vijana na kwamba vijana nchini wanaweza kushika usukani wa kuleta mabadiliko wanayoyataka.
“Ukiona kijana anamwambia kijana mwenzake hana uzoefu, basi kazi ya kuleta mabadiliko ni kubwa zaidi. Kutokuwa na uzoefu ni sifa ya kijana.”
Alisema kuwa tusi kubwa kwa Rais wa Marekani, Barack Obama mwaka 2008 lilikuwa ni kukosa uzoefu na kukosa rekodi, lakini tusi hilo liligeuka kuwa muziki kwa wapigakura wa nchi hiyo.
“Tanzania mpya inahitaji viongozi wapya, mazoea mapya, fikra mpya na maarifa mapya. Inahitaji kuthubutu mambo makubwa siyo kulinda uzoefu wa nyuma... tunaweza,” ameandika mwandishi huyo wa zamani wa hotuba za Rais Jakaya Kikwete.
Akichangia mada hiyo, mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe alisema: “Ni kweli vijana hatuna uzoefu. Uzoefu wa kuiba. Tunataka namna mpya na bora ya kuongoza nchi. Nilipochaguliwa kuwa mbunge mwaka 2005 sikuwa na uzoefu. Kulikuwa na wengi wenye uzoefu, lakini uzoefu wa posho bila kazi.”
Naye William Sunday Sempoli alisema tatizo siyo umri wa mtu. Unaweza ukawa kijana mwenye mawazo ya kizee na unaweza ukawa mzee mwenye mawazo ya ujana. “Tanzania tunamhitaji mtu mwenye uwezo wa kututoa hapa tulipokwama na kutupeleka mbele.”
Kwa upande wake Cleophas Cyprian alisema kabla ya kuchagua vijana mwaka 2015, “Ninyi mliopo sasa ilitakiwa muonyeshe uwezo wenu katika kulipigania taifa kwa matendo na siyo maneno”.
Method Nyakunga akichangia mjadala huo alisema tatizo siyo tu kizazi kipya, alihoji kama mifumo nayo ni mipya? “Kama mifumo ni hii iliyopo basi labda kizazi kipya kitokane na vyama vya upinzani kwani ndani ya chama tawala, kwa namna kilivyo sasa, kimehodhiwa na watu wachafu wa kila aina wanaoangalia masilahi yao.”
Mzalendo Joseph Goliama alisema uko sawa kwa upande mmoja lakini kwa upande mwingine kauli hizo ni za ubaguzi wa rika. Nchi yetu na katiba ya nchi yetu inataka Rais atokane na Watanzania